
Jamani wadau wapendwa, leo hii tumejaribu kuinvestigate hii address na hii WTM utility company kama iko Dagenham kama wanavyodai kwenye tovotu yao.
Lakini tulivyojaribu kuisearch na kuigoggle kwenye Google Earth, nimeambukia kwamba hii Maybells Commercial Estate iko Barking, kwenye main road ya Ripple Road, kama inavyoonyesha hapo kwenye ramani,
Tumejaribu kufuatilia kwa kupiga simu hiyo KAmpuni One Call Furniture ambao wao wako Unit 1 Maybells Commercial Estate, na WTM utility wako

Je WTM watakua wamekosea address yao, au wako sehemu tofauti kabisa na hiyo Maybells Commercial Estate, kama wanavyodai kwenye tovotu yao.
http://www.wtmutilityservices.com/index.php?option=com_contact&task=view&contact_id=1&Itemid=3
No comments:
Post a Comment